alt text

Viungo:


Women Care GelRadix Sophorae flavescentis extract, Leonurus extract, Selinum japonicum extract, Phellodendron Chinensis extract, Angelica sinensis extract.


Ujazo. Sirinji 5 ndani ya boksi moja
Matumizi: Mara moja wakati wa jioni. Kama kuna ulazima, unaweza kurudia asubuhi. Inashauriwa kutumia kwa siku 3-6 kwa wiki.
Kwa ajili ya: maambukizo ya ndani ya uke (vaginitis), uvimbe, candida, miwasho n.k.
Tahadhari: Ni kwa matumizi ya watu wazima. Wakati wa ujauzito, inabidi kutumia kwa tahadhali.
Ujazo. Sirinji 5 ndani ya boksi moja
Matumizi: Mara moja wakati wa jioni. Kama kuna ulazima, unaweza kurudia asubuhi. Inashauriwa kutumia kwa siku 3-6 kwa wiki.

Kwa ajili ya: maambukizo ya ndani ya uke (vaginitis), uvimbe, candida, miwasho n.k.

Tahadhari: Ni kwa matumizi ya watu wazima. Wakati wa ujauzito, inabidi kutumia kwa tahadhali.

Kazi Na Faida Zake

  • Huzuia kutokea kwa uvimbeuchungu, kuweka sawa uhalisia wa bakteria wa ukeni
  • Huzisisimua seli za ulinzi zilizomo ndani ya tabaka jembamba la misuli ya uke
  • Huchangia katika kujibana kwa misuli ya uke na hurudishia mnyumbuko wa misuli hiyo
  • Huua bakteria na kuondoa sumu katika uke

Maelezo Muhimu:

Jeli hii ya kuulia bakteria imetengenezwa kwa kutumia mimea iliyochaguliwa kwa uangalifu, yenye uwingi wa vitu vinavyoangamiza kabisa bakteria wabaya, lakini bila kuwaangamiza bakteria rafiki waishio ndani ya uke. Katika utengenezaji wa bidhaa hii, teknolojia inayolindwa na serikali ya Marekani imetumika, kwa kutumia vipimo na masharti ya dawa vya Marekani. Umbile lake laini na muundo wake rafiki hufanya matumizi yake kuwa rahisi. Jeli hii haiingiliani kiutendaji na dawa za aina nyingine na huchangia katika ujenzi wa seli na tishu zenye manufaa.

Kazi kuu ya jeli hii ya kuulia bakteria: inaboresha kwa haraka na kwa matokeo ya juu hali ya mwanamke kutokana na maradhi ya viungo vya uzazi. Jeli hii inaua bakteria, inazuia uvimbeuchungu, ina tabia ya kufanya marekebisho, inaweza kuzuia kwa haraka namna nyingi za uvimbeuchungu wa ndani ya uke. Ina matokea mazuri katika kupambana na maradhi yafuatayo: bacterial vaginosis, uvimbeuchungu ndani ya uke unaosababishwa na trichomonads, mchanganyiko wa wadudu wabaya, gonorrhea, cervicitis, kumong'onyoka kwa shingo ya kizazi, na maambukizo mengine. Jeli hii huondoa kwa matokeo mazuri uvimbeuchungu, mmomonyoko, miwasho, kutoa uchafu ukeni, harufu mbaya na magonjwa mengine ya ukeni.

Jeli hii ya kuulia wadudu ya kampuni ya Green World ina uwezo wa kujenga upya seli, kuiimarisha misuli ya uke, kusaidia kuondoa matatizo ya kutoka uchafu kwenye kuta za uke (hyperemia) yanayotok=kana na sababu mbalimbali. Ina uwezo wa kuibana misuli ya uke, ikitumiwa mara 2-3 kwa wiki, na hivyo kuboresha maisha ya limapenzi, kuongeza usikivu wa uke, na kukufanya ujisikie umeurudia ujana wako kimapenzi.

Matumizi ya jeli ya Green World husaidia kusafisha nyumba ya mimba na uke kwa kuondoa seli zilizozeeka na kufa na damu iliyoziba, husafisha utando laini wenye ute unaotanda juu ya nyumba ya mimba na kuondoa vitu vyote hatarishi, huondoa vyanzo vya maambukizo ya fungus, husafisha na kuulinda mfumo mzima wa uzazi wa mwanamke.
Jeli ya Green World husaidia katika kutoa homoni za kike, huamsha utendaji wa seli. Hivi vyote huchangia katika uponyaji wa ngozi,ngozi hurudishiwa uhai wake, hurudishiwa mng'ao wake na kumfanya mwanamke kuwa na mvuto.
Ukilinganisha na bidhaa nyingine zinazofanana na hii, jeli ya Green World inajitenga kwa kuwa baada ya siku 15 ya matumizi yake, itakuwa imeponya magonjwa ya aina nyingi na uke huwa umerudi kwenye upana wake na kuwa na mnyumbuko mkubwa zaidi, hujenga seli zenye afya zaidi na kurudisha hisia zitakazoleta maisha bora zaidi ya mapenzi.

Sifa za kipekee za Jeli ya Green World

. Haidhuriani na matumizi ya dawa za hospitali, huondoa bakteria ambao hawasikii dawa nyingine. Inaweza kuua bakteria walioshindikana na antibiotics
. Ina nguvu zaidi ya antibiotics, inawagundua wadudu wabaya haraka zaidi, na kisha kuwaua kwa mafanikio makubwa zaidi
. Huwagundua bakteria rafiki, huwalinda lactobacilli na kusaidia kukua kwa bakteria wengine rafiki
. Hulinda uwiano wa tindikali ya uke, uondoaji wa wadudu wabaya hauharibu pH ya uke
. Huondoa seli zilizokufa, ni bora kwa cervicitis
. Hufanya kazi haraka, huanza kuwaangamiza wadudu wabaya katika sekunde 10.

Gingko Biloba





<<<<< MWANZO